Salim Ahmed (GABO) na Salma Jabu (NISHA) wafungua mwaka na SHIDA nibonge moja la filamu lenye maadili yote ya kitanzania. Ni filamu iliyojaa mafundisho na burudani mwezi huu hautaisha filamu itakuwa kitaani kwako nunua nakala original kwa maendeleo ya wasanii wa nyumbani kwetu Tanzania.
No comments:
Post a Comment