Sunday, 19 October 2014

MSANII SALMA JABU NISHA AWEKA HISTORIA.

Salma jabu maarufu kama Nisha aweka historia kwenye tasnia ya filamu Tanzania mara baada ya kukutana na Mheshimiwa Raisi Jakaya Mrisho Kikwete huko Dodoma wakiwa kwenye mchakato wa katiba mpya. Nisha aliweza kumuelezea matatizo wanayopata wasanii wa hapa Tanzania kwani wanatumia muda wao mwingi,akili na pesa pia kwaajili yakufanya kazi nzuri itakayo burudisha jamii napia kuelimisha lakini mwisho wasiku hakuna wanachokipata kwani huibiwa kazi zao nahawana njia ya kuwakomesha kwani sheria za nchi hazija jitosheleza kumhukumu mwizi wake. Nisha alimuomba Muheshimiwa katika katiba mpya iwaangalie sana wasanii kwani sanaa ndio ajira peke iliyoajiri vijana wengi wakitanzania.

No comments:

Post a Comment