Mfanyabiashara maarufu nchini anayejulikana kama Bakharesa amemteua msanii Salma Jabu Nisha awe anamtangazia bidhaa zake kwakuwa mwana dada huyo ndiyo msanii anayetikisa Nchi kwa sasa. ''Namshukuru M/mungu kwa kunipa hichi kipaji cha uigizaji nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea nawashukuru mashabiki zangu kwa kuweza kupokea kazi zangu mpaka sasa najulikana ndani na nje ya nchi namshukuru Bakharesa pamoja na kampuni yake ya Azam kwa kuweza kunipa nafasi hii ya kutangaza bidhaa zake hii inaonyesha nijinsi gani nakubalika mpaka kampuni kubwa kama ya Azam kunipa nafasi kama hii nawashukuru wale wote wanaonisupport nawaambia nawapenda sana''.
Hayo yalikuwa maneno ya mwana dada Salma Jabu Nisha.
No comments:
Post a Comment