SALMA JABU NISHA AKIWA KAZINI
SALMA
JABU NISHA AKIWA ON SET KWA PROJECT MPYA KABISA YA ZANZIBAR HOUSE OF
TALENT KATIKA KUINUA VIPAJI VYA WAZANZIBAR NA KUTOA SUPPORT YA NGUVU
KATIKA KUHAKIKISHA WAZANZIBAR WANAPATA FURSA YA KATIKA TASNIA YA FILAMU
TZ CHINI PRODUCTION KUBWA YA CLEAR PICTURE
No comments:
Post a Comment