Monday, 17 November 2014

KING MAJUTO AMKABIDHI MIKOBA MAU

Mfalme wa komedi Tanzania Mzee Majuto amemsihii Msanii wa vichekesho Mau kuwa akaze buti kwani yeye ameshajiishia hivyo akikazana atakuja kisha nafasi aliyopo king majuto kwa sasa alimwambia maneno hayo wakiwa location wa kishoot movie mpya ya mwanadada Salm Jabu Nisha inayoitwa HAKUNA MATATA inatarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment