,muda mfupi baada ya kutoka katika kikao na baadhi ya wawakilishi wake ambao wanatazama soko la nje sana kwa ajili ya kuitangaza sanaa ya Tanzania kufika mbali,msanii huyu mahiri na mpole ila mcheshi katika maisha ya kawaida ila machachari katika filamu zake (NISHA) asiye na majivuno na aliye makini sana katika kazi aliandika haya katika ukurasa wake wa facebook
"ukiona
kobe kainama basi anatunga sheria,ukimya huu mkubwa karibuni utapata
suluhu,,,,, habari njema mashabiki zangu HAKUNA MATATA filamu yetu
ambayo itatoka mwezi ujao tukijaaliwa imetabiriwa kuchukua tuzo za OSCAR
na GOLDEN Globe Awards,,, kweli ni HAKUNA MATATA Dua zenu nawaomba
katika hili,mengi zaidi ntawapa taarifa PICHA NDO LINAANZA STARING
MWENYEWE CHAKARABOTI KAINGIA MTAMBONI"
No comments:
Post a Comment