Manaik Sanga maarufu kama Ze Don aamua kufunga na kufungua mwaka kwa
kufanya movie kali inayokwenda kwa jina la ''WAKE UP'' movie hiyo
iliyotumia pesa nyingi kuitengeneza inafananishwa na ''EXPANDABLE''
kwani humo kuna mastaa zaidi ya 30 kutoka bongo movie na wengine bongo
flevour.
''Natarajia itakuja kufanya vizuri kwani mpaka sasa nimepokea ofa kibao
za kuuza filamu hii iliyosheheni mastaa kibao kuna kampuni ya usambazaji
filam iliyopo nchini Afrika kusini ya Fojoys inayomilikiwa na Mtanzania
ambaye ni muandishi wa habari anayefahamika kwa jina la Fortunatus
Kasomfi.'' hayo ni maneno ya Manaik Sanga ''Ze Don''
Manaik Sanga akiwa na wasanii wenzie location
King majuto na Manaik Sanga ndani ya ''WAKE UP''
No comments:
Post a Comment