Siku zinazidi kusonga mbele na ile kitu tunayoisubiriria kwa hamu kubwa
ndio inakaribia kutoka. MTAA KWA MTAA ndio movie inayo bamba kila kona
ya nchi nimepata taarifa hadi nchi za jirani nazo wanasubiria kwa hamu
kubwa. Ninacho waomba mashabiki zangu tununue nakala halisi ili mimi
msanii wako niweze kuendelea kukupa burudani. Ili kuitambua DVD original
kuna stika za TRA na STEPS zilizobandikwa katika DVD hizo mbazo stika
hizo zinashikika na DVD fake stika zake hazishikiki yani zimepigwa copy
zile kava original hiyo ninjia moja wapo yakujua DVD original na DVD
fake.
NISHA BEBEE NA ASHA BOKO
MTAA KWA MTAA MWISHO WA MWEZI HUU
SALMA JABU NISHA NI MMOJA KATI YA WANOWANIA TUZO YA MCHEKESHAJI BORA KWA
UPANDE WA WANAWAKE KATIKA TUZO ZA TANZANIA FILM AWARDS 2015 ILI
KUMUWEZESHA KUSHINDA NENDA KWENYE UWANJA WA MSG ANDIKA TFA 150 KWENDA NO
15522 UNAWEZA KUPIGA KURA KADRI UWEZAVYO SIKU ZIMEBAKI CHACHE. PIGA
KURA YAKO SASA
No comments:
Post a Comment