Msanii kutoka kenya anayejulikana kwajina la Jagaur afunguka nakusema anamtaka Irene Uwoya msanii wa maigizo kutoka nchini tanzania kwani ni msichana mrembo hivyo akatoa mualiko wakwenda nchini kenya kula bata kwa mlimbwende huyo Irene Uwoya
No comments:
Post a Comment