
Manaik Sanga maarufu kwa jina la ''THE DON'' anatarajia kuachia movie yake mpya inayokwenda kwa jina la ''WAKE UP'' ndani ya hiyo movie kuna mastar kibao kama Irene Uwoya,Kajala,Jackline Wolper,Asha Boko,Tausi Mdegela,Bibi Sonia,Mama Abdul,Hemed Suleiman,Gabo,Yusuph Mlela,Quick Racka,Mabeste nawengine wengi. Ni movie iliyotumia gharama kubwa.
HII SI YAKUKOSA.
WAKE UP MOVIE
No comments:
Post a Comment