Sunday, 27 March 2016

NISHA KUJIKITA KWENYE BIASHARA

Mwana Dada Salma Jabu Nisha ajikita rasmi kwenye Biashara baada ya kuamua kurudi Shule nakusomea Biashara mwana Dada huyo alifunguka nakusema haya.
Bongohood : Habari yako Malkia wa Filamu Tanzania Salma Jabu Nisha?

NISHA : Nzuri karibu.

Bongohood : Samahani na pole nina maswali mawili matatu naomba nikuulize.

NISHA : Hainashida niulize tu.

Bongohood : Nasikia upo Dubai unasomea Biashara inamaana una future ya kuwa mwanamke Tajiri bongo au unalenga nini hasa?

NISHA : Me nasoma China Dubai nilikaa tu siku mbili kwaajili ya Biashara mpya.
Yeah kila mtu ana future ya kitu flani au kuwa nani,me kila siku nimekuwa nikisema i dont wanna be a star i wanna be a successfully woman. na allhamdullillah M'MUNGU ananiongoza njia njema..Sijafika bado ila naona juhudi zangu zitanifikisha inshaAllah.

Bongohood : Unawashauri nini wasanii wanaotegemea vipaji walivyo navyo?

NISHA : Tusijibweteke tuna muda mwingi badala ya kazi za sanaa basi tuwekeze ili tujitengenezee kesho yetu nzuri hata kipaji kinahitaji pesa ili kikue zaidi kupitia sanaa yetu tutanufaika sana kama utaitumia kwenye njia zilizosahihi kujiingizia kipato.

Bongohood : Sapoti ya wasanii kwa wasanii ni tatizo unafikiri mngekuwa mnapeana sapoti yakutosha ndani ya sanaa na nje ya mambo ya kisanii mngekuwa wapi kwasasa?

NISHA : Tungekuwa mbali sana kwani UMOJA NI NGUVU.
HII NI MOJA YA BIASHARA ANAZO FANYA NISHA


PIA ANADAWA ZINAZOPUNGUZA MWILI,TUMBO PAMOJA NA MINYAMA UZEMBE KWA BEI NAFUU         0769 089812

HUYU DADA NI MMOJA KATI YA WATEJA WALIOTUMIA DAWA HIZO ZA KUPUNGUZA MWILI

PIA ANA DAWA ZA USO ZINAZOONDOA CHUNUSI,MADOA PAMOJA NA KUTIBU NGOZI ILIYO HARIBIKA KWA MKOROGO

BEI NI KUAZNIA LAKI 2 KWA PC MOJA KWA MAWASILIANO PIGA AU WHATSAPP 0769 089812

NISHA AKIWA DARASANI NCHI CHINA

NISHA KATIKA POZI

WEKA ODA YAKO SASA 0769 089812/0789 586057


     

 

No comments:

Post a Comment