Sunday, 22 May 2016

NISHA'S FILM PRODUCTION YAANDAA TAMASHA KUBWA MTWARA


NISHA'S FILM PRODUCTION imeandaa tamasha kubwa ambalo halijawahi kutokea TANZANIA ambalo litafanyika mkoani MTWARA tarehe 27/5/2016 katika ukumbi uliozeeleka kama MAKONDE ambao sasa hivi unaitwa POLISI MESI kwa kiingilio cha 10000 tu kama wewe nimpenda bongo movie burudani utaipata nakama unapenda bongo flevour pia utapata burudani ya kufa mtu kwani NISHA'S FILM inamleta kwenu msanii Harmonize kutoka WCB pamoja na kundi zima la WCB  haijaishia hapo kutakuwa na mwana dada mrembo mwenye sauti ya kasuku toto shombeshombe hapa na mzungumzia LEYLA katika Bongo movie kuna Malkia pamoja na Mfalme wa uchekeshaji hapa nawazungumzia NISHA BEBEE na KING MAJUTO unadhani imetosha bado atakuwepo yule bingwa wa kithethe MAU a.k.a MAU FUNDI. Vaa pendeza mstue huyu na yule tukutane POLISI MESI  tarehe 27/5/2016 ZAWADI KIBAO ZITATOLEWA
KING MAJUTO
HARMONIZE MRITHI WA DIAMOND PLUTNUM

NISHA BEBE KATIKA POZI AKISIBIRI TAREHE 27/5 KUFANYA SHOW YA KUFA MTU
MAU A.K.A MAUFUNDI

ANAITWA LEYLA THE VOICE FARRY  A.K.A SAUTI YA KASUKU

No comments:

Post a Comment