Tuesday, 21 October 2014

                                                        NYUMBA  YAUNGUA KIGAMBONI
Habari zilizotufikia hivipunde kuna nyumba inaungua huko kigamboni na chanzo cha moto huwo nimfanya kazi wa ndani kuwasha jiko la gesi kisha kutoka nakwenda kusiko julikana. TAHADHARI KWA WANAO WAACHIA NYUMBA WAFANYAKAZI WANDANI

No comments:

Post a Comment