SALMA JABU NISHA AIYANIKA KIU YAKE KUBWA KWENYE MITANDAO
Saa
nyingine huwa nafikiri,Angeline Jolie huyu hapa,na wakati mwengine
nawaza Genevieve Nnaji au Mercy Johnson huyu hapa,ila inshaallah
M'Mungu atanifungulia kwa kila ndoto niiotayo leo,na ndio maana kufanya
kazi kwa bidii na kuwa mbunifu na kutokuchoka na kuridhika ndo wamekuwa
marafiki zangu wakubwa.. "I dont wanna be only a star,I wanna be a
succeful woman"
No comments:
Post a Comment