IPTYSAM MTOA MACHOZI MAMA YAKE
Nyota
njema huonekana asubuhi, namshukuru M'Mungu kwa hiki kipaji alichompa
mwanangu Iptysam,aliweza kuonesha kwny Angel akiwa na miaka mi4.. tu ila
haijatosha kwny zilizofata.. kikubwa zaiidi ktk MTAA KWA MTAA hadi
nilijikuta machozi yananitoka,sasa humu ni TAUSI MDEGELA na IPTYSAM
wanachuanaje 😂😂😂 utacheka pale Tausi anapoambiwa na Ipty akitaka
aamkiwe na amuone mkubwa amshike kichwa wakiwa wamesimama wote 😅😅😅
nawapenda sanaa dah!!! #MTAAKWAMTAA coming soon!!!

No comments:
Post a Comment