Monday, 11 May 2015

NISHA'S FILM PRODUCTION YAJA NA MTAA KWA MTAA

Nisha's film production kampuni kubwa nchini Tanzania inayotoa movie kali zinazo elimisha na kuburudisha sasa ya wakutanisha vichwa adimu hapa tunamzungumzia Salma Jabu Nisha pamoja na Asha Boko mwisho wa mwezi huu mzigo ndio unadondoka hii si ya kukosa
MTAA KWA MTAA

No comments:

Post a Comment