Hatimaye ile movie iliyokuwa ikisubiriwa na watanzania kwa hamu kubwa kuachiliwa kesho. MTAA KWA MTAA ni movie iliyo kuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na watanzania kuliko movie yoyote ile jambo hilo limedhibitishwa na wafanyakazi wa steps interntaiment kwani kila oda wanayopokea ni ya movie ya MTAA KWA MTAA kutoka kwa mwana dada Salma Jabu Nisha. Mpaka sasa steps intertainment imethibitisha msanii wa movie anayeongoza kwa mauzo ni SALMA JABU NISHA.
HONGERA NISHA, HONGERA NISHA'S FILM PRODUCTION
HONGERA NISHA, HONGERA NISHA'S FILM PRODUCTION
No comments:
Post a Comment