Habari kutoka Steps Entertainment Ltd asubuhi yaleo wamepokea oda nyingine kubwa ya movie mpya iliyo toka leo inayojulikana kama MTAA KWA MTAA. Bongohood iliwasiliana na mmoja wa wafanya kazi wa hapo steps alisema wanajiandaa kutoa copy nyengine maana zilizopo hazitotosha kwani mpaka sasa washa pokea oda nyingi za hapa Dar es salaam ukiashilia mbali za mikoani. Steps walimpongeza msanii. Salma jabu nisha kwa kazi nzuri nakudai yeye ndio anaongoza kwa mauzo sokoni.
No comments:
Post a Comment