Nisha's Film Yapania Kuibua Vipaji Vipya
Kampuni kubwa ya Nisha's film yadhamiria kuwasaidi wasanii wachanga. Katika kulitekeleza hilo Nisha's film imejiwekea mikakati mingi moja wapo ni kuwachukua wasanii hao na kuwapa nafasi ya kucheza katika kila movie inayotoka Nisha's film au kampuni yoyote itakoyotoa movie na kusimiwa na Nisha's film. MWISHO WA MWEZI HUU NISHA'S FILM PRODUCTION INATOA MOVIE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA MTAA KWA MTAA PATA NAKALA YAKO ORIGINAL KUOKOA SANAA YA TANZANIA
No comments:
Post a Comment