Friday, 15 May 2015

NISHA AN'GARA KWENYE KICHUPA CHA CHEGE

Mwana dada Salma Jabu Nisha amefanya vizuri katika video ya wimbo wa Chege unaokwenda kwa jina la Mwananyamala. Mwana dada huyo ambaye anatarajia kutoa Movie yake mpya iitwayo MTAA KWA MTAA ndani ya filamu hiyo kuna mastar kibao kama Asha boko,Diana Kimary,Tausi Mdegela,Iptysam Othman,Hemedi Suleiman na wengine wengi. SI YAKUKOSA HII

KWA HABARI MBALIMBALI ZINAZO MUHUSU NISHA MFOLLOW INSTAGRAM
@ochu_255

No comments:

Post a Comment