Ewe Mtanzania siku zimebaki chache za kuweza kupiga kura masnii wako Salma Jabu Nisha unachotakiwa kufanya nikuchukua simu yako ya mkononi na kwenda kwenye uwanja wa msg andika TFA 150 kwenda no 15522 hapo utakuwa umemuwezesha Salma Jabu Nisha kushinda na bila kusahau mwisho wa mwezi huu anakuletea zawadi ya mwaka wa 2015 hii ni MTAA KWA MTAA hayo yote ni mwisho wa mwezi huu pata picha ndio tumeshachukua tuzo yetu huku tumetulia tunaangalia MTAA KWA MTAA ni burudaaaaaani kwenda mbele PIGA KURA SASA
No comments:
Post a Comment