Sunday, 17 May 2015
NISHA KUJA NA ZAWADI YA 2015
Kwanza namshukuru M/mungu kwa kunijalia afya njema pili namshukuru mama
yangu mzazi kwa kuweza kuwa namimi toka ananizaa mpaka leo hii bado yuko
pamoja nami namwambia ahsante na nampenda sana vilevile napenda
kushukuru uongozi mzima wa Nisha's film production na crew nzima ya Leah
Richad Mwendamseke, watoto wangu wa Team nisha na wote wanaoniunga
mkono nawaambia nawapenda sana. Na kuwadhibitishia hilo mwaka huu wa
2015 nimewaletea zawadi zawadi ambayo ipo tofauti na miaka yote. MTAA
KWA MTAA nizawadi ambayo nimewaletea watanzania waweze kuburudika na
kuelimika pia kwani ndani yake kuna mafunzo mengi ninacho waomba
watanzania wasikose kununua nakala original ili kuokoa sanaa ya
Tanzania. MTAA KWA MTAA INATOKA MWISHO WA MWEZI HUU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment