Saturday, 25 July 2015

NISHA KUJA NA KITU KIPYA

Msanii Salma Jabu Nisha awaambia mashabiki zake kuwa kuna kitu amewaandalia hivyo wavute subira. Mwana dada huyo ambaye kwa sasa yupo nchini china kikazi pia amesema anaumizwa sana na kuona kundi kubwa la vijana wakimaliza shule na kubaki mtaani bila ya ajira au shughuli ya kufanya katika kusaidia hilo kampuni yake ya Nisha's Film Production huwa inawapa nafasi vijana wenye kipaji cha kuigiza ili wapate kuonekana na kupa cast katika kampuni mbalimbali

No comments:

Post a Comment