Sunday, 26 July 2015

WAKE UP MOVIE KUTIKISA NCHINI

Ile movie ya kibongo inayo fananishwa na ''EXPENDABLE'' inatarajiwa kutoka mwezi wa nane baada ya watu kuisubiri sana wasambazaji walio fanikiwa kuisambaza waamua kuiachia movie hiyo iliyo wakusanya wasanii wakubwa waigizaji pamoja na wanamuziki inayao julikana kwajina la ''WAKE UP'' akiongea Manaik Sanga ambaye ndio Producer wa Movie hiyo iliyo tengenezwa katika kampuni yake ya ''MANAIK PRODUCTION'' amesema movie hiyo imewashirikisha wasanii wengi wakubwa hivyo hata bajeti yake kuwa kubwa. ''Wasanii wamecheza juu ya kiwango chao hata wale wadogo waliamka na kufanya vizuri ninachowaomba mashabiki na wapenzi wa movie wasiikose hii maana watakuwa wamekosa burudani ya kimataifa'' Hayo ni msaneno ya C.E.O wa Manaik Production.

WAKE UP movie inatarajiwa kuingia sokoni mwezi wanane huu                             

















No comments:

Post a Comment