
Ile
kampuni inayoongoza kufanya vizuri upande wa filamu yaja kiaina yake.
Nisha`s Film Production imeamuakuchukua kundi kubwa la wasanii wachanga
na kuwapa nafasi kubwa kwa ajili ya kuonyesha uwezo wao na pamoja
kutimiza lengo la kampuni hiyo ya kuwanyanyua wasanii hao wenye ndoto za
kuwa mastar wakubwa ndani na nje ya nchi yao ya Tanzania. Wasanii hao
nao hawakulaza damu waliweza kuonyesha uwezo wao mpaka kuwa sawa na wale
mastar hivyo kuwa vigumu kuwatambua kama ndio kwanza wanaanza Game
hiyo.
MZIGO MPYA SOON UTAINGIA MTAANI
Kwa taarifa zaidi mfollow Production Manager wa Nisha`s film @ochu_255
No comments:
Post a Comment