
Nisha's film yawakusanya mashabiki wake pamoja na wasanii washanga ili kuwaweka pomaja na kuwa na umoja kama wasnii wachanga ili waweze kujisaidia wao kama wao. Njia ambayo inatumika nikufungua magroup ya whatsapp kama ww ni msanii mchanga na unamkubali Nisha unakaribishwa katika familia yake
whatsapp 0789 586057
0712 358383
Instagram
@ochu_255
No comments:
Post a Comment